Search

Tuesday, May 21, 2019

Hack au soma sms za mwenzio bila kujua

Fahamu jinsi ya kusoma sms zilizoko kwenye simu ya mwenzio bila yeye kujua kwa kufuata baadhi ya hints muhimu Kama zifuatazo:

Zipo program ambazo hutumika katika kufanikisha mchongo huu mzuri na mbaya kwa baadhi ya watu.

Program ambazo tunaenda kutumia ni program ya copy9

Hatua ya kwanza download application yenyewe copy9 na install Kama inavyotakiwa.

Hatua ya pili fungua application click sehemu iloandikwa register na baadae fungua account mpya itakayotumika kwenye simu inayochunguzwa.

Hatua ya tatu weka tiki sehemu iliyo andikwa privacy pia kwenye  my choice baadae click sehemu iloandikwa allow.Utasubiri configuration na pia hide(Ficha) icon ya application isionekane.

Hatua ya nne tumia simu nyingine Kisha brows neno my copy9 Kisha login kwa kutumia account mpya ulounda.

Hatua ya tano itakuletea menyu zote za simu inayohackiwa Kama jina la simu,calls history na GPS history.Na utachagua unachokihitaji kwenye my dashboard. Hivyo utakuwa umefanikiwa Ahsante.
            Sorry usisahau kushare.
By
       Luckghin/Tmb Luckasau.

      

No comments:

Post a Comment