Ifanye simu yako kuwa modem kwenye Kompyuta yako ili uweze kuaccess Internet.
Zipo njia mbalimbali zinkwezesha kiufanya simu yako kuwa Kama modem ambazo hutegemea Sana uwezo wasimu kuscce mtandandao.
1.Njia ya kwanza ni njia ya (USB tathering)
2.Njia ya pili ni njia ya (WiFi/ bluetooth tathering.)
Tukianza na njia ya kwanza ambayo ni njia ya kwanza ambayo ni USB tathering ambayo huhitaji ways maalum wa USB ambao huunganishwa na (simu-komoyuta)
Hii huusisha program ya setting katika simu yako ya Android kwa kuclick sehemu ya USB tathering na ikishafunguka click USB tathering ili kukonect.
Baada ya Happ check kwenye Kompyuta yako Kama tayari imeshaunganishwa,Napo utakuwa umefanikiwa kuunganisha.
Njia ya pili ambayo ni (WiFi/Bluetooth tathering hii huusisha program ya simu yako ya Android kwa kuclick sehemu ya USB tathering na ikishafunguka click sehemu ya WiFi Connect .
Baada ya hapo kampuni yako huhitaji password za kifaa kinacho connect WiFi ili kumaliza connection zote ili kuanza kutumia Mara moja.
Sorry usisahau kushare
By
Luckghin/Tmb Luckasau.