Search

Thursday, June 27, 2019

Forex Opening Day

It is the day for Forex opening day in trading remembernce in my life as the way for straggling

Forex Live Account opening day was the unforgettable day in my life at which I opened the expectable trading account.

Nikweli kabisa ndoto nilizofikiria kwa muda mrefu zimetimia siku ya Leo 27/6/2019.Mungu nisaidie niweze kufanikiwa kufanya biashara hi.

Ni ukweli usiopingika kuwa Mtafutaji hachoki akichoka Kesha pata siku nyingi Sana nilifuatilia mchongo huu wa trading ila ilishindikana.

Mambo muhimu yakufuata wewe Kama Mtafutaji usiyapuuzie ili kuwa na taaluma ya utafutaji iliyo kamilika. Msela wang yafuate haya katika mpango mzima wa utafutaji

     Kuwa mvumilivu

     Usiwe mbabaishaji

     Epuka kuwa domokaya

     Kuwa na lengo madhubuti

     Kuwa na Nia (chachu ya utafutaji)

     Jiamini kwa Kila ufanyalo

     Usichoke kufuatilia la muhimu

     Kuwa na msimamo.

    Thanks my niggaz

Luckghin/Tmb Luckasau.